* Unaweza kutozwa gharama za data. Wasiliana na mtoa huduma wako ili kupata maelezo.
Kuanzia kupiga simu ya kikundi na marafiki hadi simu ya haraka na mama yako, jihisi kana kwamba mpo katika chumba kimoja kupitia simu ya sauti na video, ambazo sasa zinapatikana zikiwa na mandharinyuma na madoido.
Kwa usimbaji fiche kutoka mwanzo hadi mwisho, ujumbe na simu zako za kibinafsi zinalindwa. Ni wewe tu na unayezungumza naye ndio mnaweza kusoma au kusikiliza, wala hakuna mwingine yeyote, hata WhatsApp.
Iwe ni kupanga ziara na marafiki au kufuatilia gumzo ya familia, mazungumzo ya vikundi yanafaa kuwa rahisi.
Jielezee bila kutumia maneno. Tumia vibandiko na GIF au shiriki matukio ya kila siku katika Hali. Rekodi ujumbe wa sauti wa kujulia hali au hadithi za kawaida.
WhatsApp Business hukusaidia kufikia wateja wako duniani kote ili kukuletea hali ya utumiaji yenye kuvutia kwa kiwango kikubwa. Onyesha bidhaa na huduma zako, ongeza mauzo na ujenge uhusiano ukitumia WhatsApp.