Ninakualika katika kundi la kusoma biblia kila siku na kutafakari, kundi hili linaweza kuleta mabadiliko makubwa sana katika maisha yako.
Utakutana na watu mbalimbali wanaosoma na kutafakari neno la Mungu kila siku. Watakuwa sababu ya kukufanya ukumbuke kusoma biblia kila siku.
Wasiliana nasi kwa wasap namba +255759808081 ili uweze kuunganishwa kwenye group hili zuri la kusoma na kutafakari neno la Mungu.
Soma neno ukue kiroho
Liwe jua iwe mvua soma biblia yako
Chapeo Ya Wokovu
www.chapeo.or.tz
+255759808081