Habari Mpendwa,
Karibu kwenye Channel Maalum kwa Bidhaa Halisi za HONDA nchini Tanzania! Tunasambaza na kuuza Pikipiki, Genereta, Injini, Pampu za Maji, na Oil Zenye Ubora Halisi kutoka HONDA.
Bidhaa zetu zinapatikana kupitia mawakala na wauzaji waliopo Kariakoo, viunga vya Jiji la Dar es Salaam, na mikoani.
Tunapatikana Mtaa wa Congo, Kariakoo, karibu na Mgahawa wa Medina.
Ili kupata Huduma zetu Wasiliana nasi: 📞 0675 252 697
Karibu ujipatie bidhaa bora na zenye kurudisha thamani ya uwekezaji wako haraka.
BODA NI HONDA!