UVIMA maana yake ni Umoja wa Vikundi Marangu. Hii ni Taasisi ya Kifedha iliyoanzishwa mwaka 2007.
*HATI ZA UTAMBULISHO*
✍️ Hii ni SACCOS ya Kijamii - Daraja A
*✍️Nambari ya Usajili*
1. Usajili wa zamani - Na. KLR 712
2. Usajili mpya - Na. PRI-KJR-MSH-DC-2022-1427
*✍️ Nambari ya Leseni*
3. Leseni ya Zamani - Na. MSP3-TCDC-2021-00304
4. Leseni Mpya - Na. MSP3-TCDC-2023-00333
✍️ TRA TIN Na. - 142-184-079
✍️ Kwa sasa SACCOS ina zaidi ya wanachama 900
✍️ Ofisi ya Chama ipo Marangu (KKKT Ashira) - Wilaya ya Moshi - Kilimanjaro.