NURU MPYA STORIES ni Brand ya Kitanzania inayojikita katika utunzi wa hadithi za kusisimua, uandishi wa kisanii, uchapishaji wa kazi bunifu.
Tangu mwaka 2024, tumekuwa mstari wa mbele katika kukuza na kusambaza sanaa ya simulizi zinazogusa maisha ya watu, zenye maudhui ya Kiafrika na uzito wa kihisia.
Kazi zetu zimechapishwa kwenye machapisho mbalimbali na kuonyeshwa kwenye maonyesho ya kimataifa, jambo lililotupatia sifa kwa ubunifu, ubora, na uhalisia wa kazi zetu.
Nuru mpya stories si tu hadithi, ni harakati ya kuenzi lugha ya Kiswahili kupitia sanaa, uandishi, na taswira. Tunaamini kila simulizi lina uwezo wa kubeba ujumbe, kuelimisha, na kugusa mioyo.
Ikiwa unahitaji hadithi za kusisimua, michoro ya kuvutia kwa ajili ya matangazo, au huduma za uandishi wa kitaalamu. Simulizi za Kiswahili ni nyumbani kwa ubunifu wa kweli.
Kwa mawasiliano ya Whatsapp na kupiga simu kawaida namba hii hapa..
0780464168
Au hisa link hii
https://wa.me/255780464168