Endelea kufuatilia watu muhimu kwako kwa kutumia sauti, simu za video na ujumbe wa faragha unaotegemewa kwenye vifaa vyote vya iOS na Android.
Ongea na marafiki na familia yako ukitumia simu ya sauti, au zungumza ana kwa ana ukitumia simu za video za ana kwa ana na za kikundi—hazina malipo * na hazina kikomo.
*unapopiga simu kwa kutumia WiFi au kifurushi cha data
WhatsApp inatumiwa na zaidi ya watu bilioni mbili katika nchi zaidi ya 180. Yeyote unayehitaji kumfikia, labda yuko kwenye WhatsApp.